App muhimu kwa biashara yako.

Toa risiti zilizopitishwa na TRA kwa wateja wako.

#

Umuhimu

Inakuwezesha kutoa risiti za EFD zilizopitishwa na TRA (Mamlaka ya kodi ya Tanzania) ili kufanya biashara yako iwe rahisi na yenye kufata sheria.

Inatuma Z-report Yenyewe

Inapatikana Android na IOS

Toa Risiti Bila Kikomo

Pata Ripoti Kwa siku

Account Moja Simu zako zote

Bei Nafuu

Rahisi, Haraka na Ya Uhakika

Bei Yake

TZS 60,000/ Mwaka